Jeremiah 3:21


21 aKilio kinasikika juu ya miinuko iliyo kame,
kulia na kuomboleza kwa watu wa Israeli,
kwa sababu wamepotoka katika njia zao
na wamemsahau Bwana Mwenyezi Mungu wao.

Copyright information for SwhKC